- 5,855 viewsDuration: 2:15Visiwani Zanzibar, talaka mara nyingi haileti tu maumivu ya hisia kwa mtu binafsi bali pia huambatana na unyanyapaa kutoka kwa jamii na changamoto za kiuchumi kwa wanawake wengi. Mwanamke mmoja amejibu changamoto hizo kwa kuanzisha kikundi kinachojulikana kama @mamasofzanzibar, kinachosaidia wanawake kupata tena uhuru na heshima. Mwandishi wa BBC, Elizabeth Kazibure, ametembelea kikundi hicho na kutuandalia taarifa ifuatayo… 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw