'Ukomo wa hedhi hupunguza hamu ya tendo la ndoa'

  • | BBC Swahili
    465 views
    Aloicia Shemdoe mwanamama msomi mwenye shahada 4 ikiwemo ya umahiri katika sayansi ya tiba amefanya tafiti nyingi zinazohusiana na afya ya jamii nchini Tanzania. Safari yake ya kufikia ukomo wa hedhi iliyabadili maisha yake na kuwa chachu kwake kuwaelimisha wake kwa waume kuhusu ukomo wa hedhi. Aloisia Shemdoe ammemueleza Martha Saranga umuhimu wa kuelimisha jamii kuhusu hatua hii ya maisha ili kuondoa aibu, imani potofu na mateso ya kimya kimya miongoni mwa wanawake. #bbcswahili #tanzania #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw