Ukosefu wa ajira, matumizi ya mihadarati vyatatiza amani Kwale

  • | Citizen TV
    110 views

    Ukosefu wa ajira, matumizi ya mihadarati na migogoro ya urithi wa mashamba vimetajwa kama chanzo kikuu cha ukosefu wa amani miongoni mwa vijana na wazee katika maeneo ya Waa Ng'ombeni, Tsimba Golini na Tiwi katika kaunti ya Kwale.