- 5,129 viewsDuration: 35sUkraine imefanya shambulio lake kubwa zaidi la droni dhidi ya Moscow katika kipindi cha miaka miwili siku ya Alhamisi. Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi TASS, shambulio hilo lilisababisha uharibifu wa miundombinu na mabaki ya droni kuanguka katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu wa Moscow. #bbcswahili #urusi #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw