Ukuaji wa haraka wa miji Afrika Mashariki, athari na maendeleo ya miundombinu

  • | VOA Swahili
    471 views
    Jarida la wikiendi linaangazia ukuaji wa haraka wa miji katika miji mikuu ya Afrika Mashariki na athari zake kwa makazi, maendeleo ya miundombinu na mipango miji. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.