UKUMBI | Athari za Mafuriko [Part 1]

  • | Citizen TV
    620 views

    Mvua za vuli zimesababisha maafa na hasara. Watu kumi wameripotiwa kufariki maeneo mbalimbali. Maelfu ya watu wameachwa bila makao. Watabiri wasema mvua itanyesha miezi mitatu. Shughuli zinahofia kutatiza mtihani wa KCSE.