| UKUMBI | Janga La Mafuriko Nchini [Part 1]

  • | Citizen TV
    1,092 views

    Idadi ya waliofariki sasa imefikia watu 230 Watu wawili zaidi wamefariki kwenye mkasa wa mai mahiu Watu 72 bado wanatafutwa huku 164 wakiuguza majeraha Mvua kubwa imetabiriwa kuendelea kunyesha kaunti 33 Serikali imeanza kuwahamisha walioko karibu na mito Wanaoishi karibu na mabwawa na vyanzo vya maji watakiwa kuhama Marufiko yamesomba madaraja na kukata barabara kadhaa