Skip to main content
Skip to main content

| Ukumbi | Mustakabali wa taifa [part 2]

  • | Citizen TV
    1,054 views
    Duration: 31:28
    Rais mstaafu Uhuru alishutumu utendakazi wa Rais Ruto Je, kuna ukweli kuhusu madai aliyotoa rais mstaafu? Je, matamshi hayo yanahujumu utendakazi wa serikali? Je, matamshi ya Uhuru yana athari yoyote katika siasa? Tunajadili pia mikakati ya IEBC kujiandaa katika chaguzi ndogo