- 446 viewsDuration: 21:20Rais mstaafu Uhuru alishutumu utendakazi wa Rais Ruto Je, kuna ukweli kuhusu madai aliyotoa rais mstaafu? Je, matamshi hayo yanahujumu utendakazi wa serikali? Je, matamshi ya Uhuru yana athari yoyote katika siasa? Tunajadili pia mikakati ya IEBC kujiandaa katika chaguzi ndogo