UKUMBI WA SIASA: Dini na Siasa

  • | TV 47
    924 views

    Mwenyekiti wa MCSK Dr. Ezekiel Mutua, Askofu wa huduma za Word Temple Michael Wambua na Askofu George Kamunya wazungumzi uwajibikaji, wajibu na mwelekeo wa dini katika siasa.