Ukusanyaji Ushuru I KRA yataka iidhinishwe kupata deta za kibinafsi

  • | KBC Video
    103 views

    Halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini imetetea pendekezo lake katika mswada wa fedha wa kuipa uwezo wa kuingia katika data za kibinafsi za wakenya katika jitihada za kuwanasa watu wanaokwepa kulipa ushuru.Katika kutetea pendekezo hilo mbele ya Kamati ya fedha ya bunge la Kitaifa, Kamishna Mkuu wa halmashauri hiyo Humphrey Wattanga aliwaambia wabunge kuwa wameweka mikakati inayofaa kuhakikisha usalama wa data kulingana na sheria za usalama wa data.Hata hivyo, kauli yake ilipingwa na wabunge kufuatia ufichuzi kuwa mfumo huo ulivurugwa na kufanya data za wakenya kupatikana kwa urahisi.Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive