- 960 viewsDuration: 2:19Idara ya upepelezi ya dci imetoa taarifa mpya kuhusu uchunguzi unaofanywa dhidi ya vituo 260 vya afya vinavyohusishwa na madai ya ulaghai kwenye bima ya afya ya sha. Katika ripoti yao ya punde zaidi, mkurugenzi wa dci, mohammed amin, alisema watu 50 tayari wameshtakiwa, huku kesi 19 zikiwa zimepata idhini kutoka ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kuendelea na mashtaka. Na kama anavyoripoti emily chebet, kesi hizo ni za kuanzia septemba mwaka wa 2025 hadi sasa.