- 275 viewsDuration: 3:34Maelfu ya wageni waliojitokeza kwa sikukuu ya Mashujaa mwaka huu katika uwanja wa Ithookwe kaunti ya Kitui walipokea burudani ya aina yake iliyoambatana na umuhimu wa siku ya leo. Burudani kutoka kwa vijana kwa wazee, wasanii maarufu wa Ukambani na wanamuziki chipukizi ilisisimua umati. Mmoja wa mashujaa wa taifa hili hayati Raila Amollo Odinga aliyezikwa jana pia alitambuliwa na kupewa heshima na wasanii kwa mchango wake katika demokrasia ya vyama vingi na jukumu lake muhimu katika kubuniwa kwa katiba ya Kenya ya mwaka 2010. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive