Skip to main content
Skip to main content

Umaarufu wa 'Chobwedo'

  • | BBC Swahili
    3,410 views
    Duration: 2:12
    Ramadhani Salum, maarufu kwa jina la Chobwedo, ni miongoni mwa wachezaji waliovutia zaidi katika msimu uliomalizika wa Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na kiwango chake bora uwanjani. Ubora huo umeifanya jina lake kuendelea kuhusishwa na tetesi za usajili wa vigogo wa soka nchini, Simba na Yanga. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC, Omary Mkambara @loko_omi, @ramadhani_chobwedo amesimulia safari yake ya soka ilivyoanza na ndoto zake za kufika mbali zaidi kwenye mchezo huo. 🎥: @frankmavura - - #bbcswahili #soka #kandanda