Skip to main content
Skip to main content

Umati mkubwa wa mashabiki wa BTS wajitokeza kuwasalimia

  • | BBC Swahili
    3,783 views
    Duration: 46s
    Tazama umati mkubwa wa watu waliokuja kuwapokea nyota wa K-Pop BTS kabla ya tamasha lao huko Mexico. BTS watafanya maonesho mjini Mexico City ambapo zaidi ya tiketi 135,000 za tamasha hilo ziliuzwa ndani ya dakika chache tu. Kundi hilo limerejea tena kwenye umaarufu baada ya mapumziko ya karibu miaka minne baada ya kwenda kushiriki huduma ya lazima ya kijeshi Wimbo gani kutoka kwao unaukubali? #bbcswahili #koreakusini #mexicocity Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw