Umati washangilia giza la kupatwa kwa jua

  • | BBC Swahili
    3,292 views
    Tukio la Kupatwa kwa jua mwaka huu limevuta umati wa watazamaji huko Mexico, Marekani na Canada. Kivuli cha Mwezi kilipita kwenye Dunia kwa kasi ya 2,400km/h katika safu ya kaskazini-mashariki kupitia majimbo ya Mexico ya Durango na Coahuila kabla ya kuelekea maeneo ya Texas, Arkansas na majimbo jirani ambapo yalipata giza kwa muda. Kupatwa kwa jua kulianza kuonekana pwani ya Mecico karibu na jiji la Mazatlan. #bbcswahili #kupatwakwajua #solareclipse2024 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw