16 Dec 2025 1:31 pm | Citizen TV 1,294 views Duration: 2:12 Familia moja katika eneo la Ngor’ngoroi, eneo bunge la Marakwet Magharibi Kaunti ya Elgeyo Marakwet, inaomboleza kifo cha mpendwa wao aliyeuawa na umeme wa mvua ulioandamana na radi.