- 172 viewsDuration: 1:53Umma umehimizwa kukumbatia uwajibikaji wa pamoja katika kudumisha mazingira safi kama sehemu ya juhudi za kulinda afya na ustawi wa jamii. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afya ya Umma Duniani yaliyofanyika Machakos, Mkurugenzi wa Afya ya Umma nchini, Naomi Mutie, alizitaka kaunti zingine kuiga mikakati ya Kaunti ya Machakos katika kuhamasisha umma kuhusu usafi wa mazingira .