- 503 viewsDuration: 1:17Mgahawa mmoja uliopo juu ya makaburi umegeuka kuwa sehemu maarufu katika mji wa Ahmedabad magharibi mwa India. Mgahawa huo unaojulikana kama Lucky Restaurant ulijengwa mwaka 1950 juu ya makaburi ya zamani na makaburi hayo yameachwa kama yalivyo bila kuondolewa. Ndani ya mgahawa huo kuna makaburi 26 ambayo yamezungushiwa uzio, huku viti vya wateja vikipangwa katika sehemu zilizosalia kati ya makaburi hayo. #bbcswahili #mgahawaindia #india Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw