Uokozi unaendelea baada ya tetemeko baya zaidi kuwahi kutokea kupoteza maisha ya maelfu Morocco

  • | VOA Swahili
    578 views
    Manusura wa tetemeko baya zaidi la ardhi nchini Morocco katika zaidi ya miongo sita wanataabika kupata chakula, maji na malazi huku zoezi la kuendelea kuwatafuta waathirika zaidi waliofukiwa ukiendelea katika vijiji na miji mbalimbali na idadi ya vifo ya zaidi ya 2,500 ikionekana kuwa huenda ikaongezeka zaidi. Misaada inafikishwa kwa njia nyingi tofauti.