Uongozi wa chama cha PAA wajiunga na chama cha ODM

  • | K24 Video
    61 views

    Spika wa bunge la seneti Amason Kingi amepata pigo kubwa baada ya viongozi na wanachama wa chama anachohusishwa nacho cha Pamoja African Alliance kumtema na kujiunga na ODM. Viongozi hao walifunga ofisi zao za kilifi na kukabidhi funguo ofisi ya kinara wa Azimio Raila Odinga. Viongozi wanamshutumu kingi kwa kujali maslahi yake pekee baada ya kuhamia kenya kwanza.