Wanachama wataka uongozi wa Afya Sacco ubadilishwe

  • | Citizen TV
    155 views

    Serikali Kuu Kupitia Wizara Ya Vyama Za Ushirika Imetakiwa Kutatua Mzozo Kati Ya Wahudumu Wa Afya Na Chama Chao Cha Akiba Na Mikopo, Afya Sacco, Wakidai Kutonufaika Na Uwekezaji Wao. Wakizungumza Katika Hospitali Ya Mbale Rural Kaunti Ya Vihiga, Wahudumu Hao Wamewashtumu Viongozi Wa Afya Sacco Wakidai Kuwa Hawawajibiki Wakitaka Mabaliko Ya Uongozi Wa Chama Hicho Cha Ushirika.