Skip to main content
Skip to main content

Upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA kuanza mwezi ujao

  • | KBC Video
    1,688 views
    Duration: 3:25
    Mradi uliosuburiwa kwa hamu wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta utaanza mwezi ujao baada ya kucheleweshwa kwa miaka kadhaa hali ambayo imeathiri sekta ya uchukuzi wa ndege humu nchuini. Hii ni kufuatia kutiwa saini kwa mkataba wa upanuzi huo wa shilingi bilioni-154.2 na shirika la China la ujenzi wa barabara na madaraja unaotarajiwa kuuwezesha uwanja huo wa ndege kuwashughulikia wasafiri milioni- 20 katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive