Upasuaji wa maiti waonyesha mbunge Charles Were alijeruhiwa viungo kadhaa mwili

  • | Citizen TV
    536 views

    Ukaguzi wa maiti umeonyesha kuwa Mbunge huyo wa Kasipul Charles Ong'ondo Were alifariki kutokana na majeraha ya sehemu kadhaa za mwili wake ukiwemo moyo Mkaguzi mkuu wa maiti serikalini Johansen Oduor akisema kuwa mbunge Wee alipigwa risasi mara tano huku risasi zilizomlenga zikiharibu kabisa viungo vyake vya ndani. Oduor akisema kuwa nafasi ya Were kupona ilikuwa ndogo mno kwani sehemu zake muhimu za mwili ziliharibiwa na kishindo cha risasi zilizomlenga. Upasuaji huu ulifanyika katika hifadhi ya maiti ya Lee