Skip to main content
Skip to main content

Upinzani hawana hoja juu ya kura za mapema

  • | BBC Swahili
    14,241 views
    Duration: 1:38
    Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar amesisitiza kwamba kura ya mapema ni takwa la kisheria hivyo Tume haina budi kuitekeleza hata kama mchakato huo umekuwa ukilalamikiwa na vyama vya upinzani. Mwandishi wa BBC @sammyawami alizungumza na mkurugenzi huyo Thabit Idarous Faina - - 🎥 @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #siasa #zanzibar #siasa #uchaguzimkuu2025