Skip to main content
Skip to main content

Upinzani waelezea wasiwasi wao kuhusu utayari wa IEBC

  • | KBC Video
    955 views
    Duration: 3:12
    Upinzani umeendeleza ukosoaji wake kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka na sasa unatoa wito wa kufanyiwa marekebisho teknolojia ya uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Viongozi wa upinzani wanasisitiza kwamba, ingawa wataipa IEBC muda wa kushughulikia masuala muhimu wanayohisi kuwa hayako sawa,tume hiyo nayo hainabudi kuwajibika kwa ajili ya kufanikisha maandalizi ya uchaguzi huru,haki na kuaminika. Wakizungumza wakati wa ibada ya jumapili huko Mathioya, kaunti ya Murang’a, hao walisema kuwa wana imani wana kura za kutosha kumshinda Rais William Ruto, ambaye anatafuta kuchaguliwa tena. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive