Skip to main content
Skip to main content

Upinzani; Waokoeni vijana waliokwama Urusi

  • | KBC Video
    304 views
    Duration: 2:34
    Viongozi wa muungano wa Upinzani wanataka serikali iwarudishe nchini Wakenya waliokwama nchini Urusi. Wakiongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Naibu kiongozi wa Chama cha Jubilee Fred Matiang’i, viongozi hao walionyesha wasiwasi wao kuhusu idadi inayoongezeka ya vijana waliopoteza maisha yao katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive