Skip to main content
Skip to main content

Upinzani watetea Uhuru, wamkosoa Ruto kuhusu uchumi

  • | Citizen TV
    909 views
    Wabunge wa upinzani sasa wamemtetea Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutokana na madai ya chama cha UDA kuwa alisambaratisha uchumi wa taifa alipokuwa uongozini. Wabunge hao wamemnyoshea kidole cha lawama Rais William Ruto wakisema anakosoa serikali ya awali ilhali alikuwa naibu rais wakati huo.