- 23,662 viewsDuration: 2:01Washukiwa saba wa mkasa wa moto shuleni Utumishi wafikishwa katika mahakama ya Naivasha. Washukiwa hao wote ambao ni wanafunzi wa shule hiyo wanatuhumiwa kwa kuanzisha moto katika bweni lililoteketea na kusababisha vifo vya wanafunzi 16 huku wengine zaidi ya 70 wakijeruhiwa.