Skip to main content
Skip to main content

Urithi wa marehemu Jaji wa Mahakama Kuu David Majanja

  • | Citizen TV
    565 views
    Duration: 2:34
    Baadhi ya jamaa za marehemu Jaji wa Mahakama Kuu David Majanja wamewasilisha rufaa kupinga uamuzi wa mahakama kuhusu mali ya marehemu. Mama wa kambo wa marehemu akipigania kurejeshwa kwenye orodha ya warithi, na nduguye marehemu Majanja akitaka fedha ambazo anasema aliwachiwa na nduguye ila hadi sasa hajapokea.