Skip to main content
Skip to main content

Urusi na Marekani zapoteza ndege kubwa za kivita ndani ya saa 24

  • | BBC Swahili
    107,044 views
    Duration: 1:59
    Ndege kubwa za kivita za kimkakati za Urusi na Marekani zilipata ajali mbaya katika siku moja, Juni 15, 2026. Matukio haya mawili yalitokea ndani ya saa chache kutokana na hitilafu tofauti wakati wa safari za mafunzo. @_phillys anatudadavulia kwa kina uwezo wa ndege hizi #bbcswahili #marekani #urusi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw