Skip to main content
Skip to main content

Urusi yashambulia treni ya Ukraine

  • | BBC Swahili
    7,141 views
    Duration: 32s
    Ndege isiyo na rubani ya Urusi ilishambulia treni karibu na mpaka wa Ukraine na Poland, muda mfupi baada ya Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson na maafisa wakuu wa usalama wa Ulaya kupita eneo hilo. Hakuna mtu aliyeripotiwa kujeruhiwa katika shambulio hilo lililotokea Yahodyn, ambalo lililenga injini ya treni. Mamlaka za Ukraine zilisema abiria wote walikuwa wameondolewa kwenye treni hiyo. Bw.Johnson na washauri wengine wa usalama wa taifa kutoka mataifa ya Ulaya walikuwa wametumia njia hiyo hiyo kwa treni nyingine walipokuwa wakirejea kutoka mkutano mjini Kyiv. - - #bbcswahili #Urusi #ukraine🇺🇦 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw