Usajili wa makurutu KDF umeanza rasmi sehemu mbalimbali nchini

  • | Citizen TV
    5,031 views

    Vijana katika maeneo mbali mbali walijitokeza hii leo kujaribu kujiunga na jeshi la Kenya katika siku ya kwanza ya kuwasajili makurutu katika kaunti 31 na humu nchini