Skip to main content
Skip to main content

UsajIli wa makurutu wa polisi waanza rasmi Nakuru

  • | NTV Video
    171 views
    Duration: 2:28
    Baada ya mahakama kuondoa amri ya kusitisha, zoezi la usajili wa makurutu lilianza upya na kufanyika kote nchini. Katika eneo bunge la Nakuru Magharibi, shughuli hiyo ilianza saa kumi na mbili asubuhi na kuwavutia vijana wengi waliojitokeza kujaribu bahati yao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya