Skip to main content
Skip to main content

Usajili wa mitihani ya kitaifa ya mwaka 2026 kuanza Jumatatu

  • | KBC Video
    144 views
    Duration: 3:13
    Usajili wa mitihani ya kitaifa ya mwaka 2026 inatarajiwa kuanza Jumatatu ijayo. Baraza la kitaifa la mitihani linasema shughuli hiyo itakamilika tarehe 31 mwezi Machi huku likiwahimiza wazazi kujihusisha kikamilifu katika mchakato wa usaliji wa watahiniwa wa mitihani ya KPSEA, KJSEA na KCSE. John Kahiro ana taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive