- 1,281 viewsDuration: 2:41Zoezi la usajili wa wapiga kura limeingia siku ya pili hii leo huku tume ya uchaguzi ikiandikisha idadi ndogo ya waliojitokeza kusajiliwa,na baadhi ya vituo vikisalia bila matukio. Hata hivyo, vijana waliojitokeza katika vituo mbali mbali walielezea ari yao ya kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu ujao haswa baada ya matukio ya miaka miwili iliyopita