- 180 viewsDuration: 3:13Mamia ya vijana katika eneo bunge la Kwanza, kaunti ya Trans Nzoia, sasa wanalalamika wakisema mzozo wa uajiri wa chifu katika lokesheni ya Kwanza huenda ukadidimiza azma yao ya kujiandikisha kama wapiga kura. Wengi wao, licha ya kufikisha umri wa kupata vitambulisho, wanajikuta wakihangaika, hali inayotia doa kampeni yao ya NikoKadi.