24 Apr 2026 1:13 pm | Citizen TV 6,527 views Duration: 2:09 Kamishina wa kaunti ya Garissa Ramadhan Mwabudzo ameitisha mkutano wa dharura na viongozi wa dini eneo hilo kwa lengo la kuondoa taharuki kuhusu maandamano yaliyopangwa kufanyika hii leo baada ya salaa ya ijumaa.