Skip to main content
Skip to main content

Usalama waimarishwa Kasarani kufuatia mchuano wa Harambee stars na Zambia

  • | Citizen TV
    7,831 views
    Duration: 2:16
    Usalama uliimarishwa kwa kiwango kikubwa katika Uwanja wa Kasarani na maeneo maalum ya kutazamia mechi wakati wa mchuano kati ya Harambee Stars ya Kenya na Chipolopolo ya Zambia. Mikakati ya usalama iliwekwa huku wasafiri pia wakielekezwa kutumia barabara mbadala ili kuhakikisha mtiririko bora wa trafiki