- 3,255 viewsDuration: 2:25Ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili John Matara, anayetuhumiwa kwa mauwaji ya mwanamtindo, Starlet Wahu, uliendelea Jumatano huku mashahidi wakiendelea kumhusisha na tukio la mauwaji lililotokea Januari 2024. Mahakama ilielezwa kuwa wachunguzi walipata vitu binafsi vinavyodaiwa kuwa vya marehemu na mtuhumiwa eneo la tukio, vikiwemo sidiria, nguo ya ndani, pamoja na mipira ya kondomu zilizotumika