Skip to main content
Skip to main content

Ushindi wa Ol Kalou ni ishara Ruto ataondoka 2027- Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    4,387 views
    Duration: 3:51
    Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua amesema ushindi wa Sammy Douglas Kamau Waweru katika uchaguzi mdogo wa Ol Kalou ni ishara kwamba Rais William Ruto ataondoka madarakani mwaka 2027. Akizungumza wakati wa sherehe za kusherehekea ushindi huo, Gachagua aliwashukuru wakazi wa Ol Kalou kwa kudumisha msimamo wao licha ya madai ya vitisho na hongo. Pia aliwataka wakazi wa Mlima Kenya kuwaondoa viongozi wanaomuunga mkono Rais Ruto katika uchaguzi mkuu ujao.