- 462 viewsRaila Odinga mwanasiasa mashuhuri na mzoefu nchini Kenya aliyepania kunyakuwa nafasi ya uongozi wa kiti cha Tume ya Umoja wa Afrika licha ya umaarufu wake na kampeni kali aliyoifanya alishindwa kushinda uchaguzi huo. Katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia, viongozi wa Afrika walimchagua Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Ali Youssouf, kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Youssouf alishinda nafasi hiyo baada ya kuwabwaga wagombea wengine wawili: Raila Odinga, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, na Richard Randriamandrato, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar. Ungana na mwandishi wa VOA, Kenya Zainab Said akikuletea mtiririko wa mambo mbali mbali yanayo elezwa na wachambuzi na wananchi wa Kenya kuhusu safari ya Odinga ya kisiasa na vipi imeweza kuchangia kuanguka kwake katika uchaguzi huu. Endelea kusikiliza... #AU #umojawaafrika #railaodinga #kenya #addisababa #djibouti #mahmoudaliyoussouf #uchaguzi #mwenyekiti #tume #williamruto #voaswahili
Usuhuba wa Raila na Rais Ruto wadaiwa kukinzana na utetezi wa utawala bora Kenya
- - Duniani Leo ››
- - Local news roundup ››
- 16 Jun 2025 - Assassination of Kasipul MP Ong’ondo Were, death of teacher Albert Ojwang’ and ODM’s internal rebellion have shaken the foundation of Ruto-Raila pact.
- 16 Jun 2025 - Many investigations into police killings in Nakuru have stalled, allegedly due to interference or lack of political will.
- 16 Jun 2025 - President Ruto has accused opposition politicians of lacking a national development agenda.
- 16 Jun 2025 - The silent STI threat: Why unseen infections are a growing concern
- 16 Jun 2025 - Hidden knife in the Finance Bill that stabs firms
- 16 Jun 2025 - Security budget balloons while justice starves and protesters bleed
- 16 Jun 2025 - Police explanation of Ojwang's death comes from a familiar past script
- 16 Jun 2025 - Manufacturers warn new rules on alcohol will hurt production
- 16 Jun 2025 - Ojwang final hours: Hospital CCTV footage exposes gaps in police story
- 16 Jun 2025 - Cancer took my health, heartbreak everything else: Leah Wanjiru's silent battle