Skip to main content
Skip to main content

Utafiti wa Infotrak waonyesha ongezeko la gharama ya maisha ndio changamoto kubwa kwa Wakenya

  • | KBC Video
    238 views
    Duration: 3:10
    Huku Wakenya wakikaribia kufikia kikomo cha mwaka-2025, utafiti mpya wa kitaifa unaonyesha kwamba ongezeko la gharama ya maisha ndilo changamoto kubwa inayowakabili wakenya kote nchini. Kura ya maoni ya mwisho wa mwaka iliyofanywa na shirika la Infotrak iliyoandaliwa kati ya tarehe 19 na 20 mwezi huu miongoni mwa washiriki elfu-1 katika kaunti zote-47, imefichua kwamba ukosefu wa ajira na bei ya juu ya chakula sasa ndizo mizigo ya kifedha unaokabili familia nyingi nchini. Utafiti huo aidha ulionyesha kwamba changamoto za kiuchumi pia zinaathiri maslahi ya wakenya kwa ujumla. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive