Skip to main content
Skip to main content

Utafiti wa TIFA

  • | Citizen TV
    654 views
    Duration: 1:11
    Kulingana na utafiti wa TIFA, uungwaji mkono umeongezeka hadi asilimia 44 huku wanaopinga wakipungua hadi asilimia 48. Asilimia 68 ya wakenya walipinga muungano huo katika utafiti uliofanyika mwezi Mei.