Utamaduni na michezo ya jamii ya Samia kaunti ya Busia

  • | West TV
    62 views
    Gavana wa kaunti ya busia dr. Paul otuoma ameitaka idara ya michezo na utamaduni katika kaunti ya busia kutumia fursa ya maonyesho yanayoendelea ya tamaduni za jamii mbali mbali katika kaunti hiyo kubuni timu za michezo ya kitamaduni katika kaunti ya busia Akizungumza katika ufuo wa bumbe eneo bunge la funyula wakati wa maonyesho ya tamaduni ya michezo ya ufuoni ya jamii ya samia, dr. Otuoma amesema kuundwa kwa timu hiyo kutasaidia kukuza tamaduni za jamii za kaunti ya busia