Utamaduni wa Ilchamus

  • | KBC Video
    50 views

    Methali ya Kiafrika husema mwana anaponawa mikono yake, huenda akala na wafalme. Methali hii inashabihiana na sherehe ya kijadi miongoni mwa jamii ya Ilchamus katika kaunti ya Baringo maarufu kama Elpatit. Ni katika sherehe hii ambapo kichwa cha kijana wa kiume hunyolewa kabisa kuashiria mwanzo wa safari yake ya urais yaani Launon wa rika lake almaarufu Ilkirau. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Sarafina Robi, sherehe hii ina taratibu muhimu zinazojumuisha utamaduni wa Ilchamus kutoka kizazi hadi kingine na kuulinda usitoweke.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive