Skip to main content
Skip to main content

Utamaduni watajwa kuwa nguzo ya kuimarisha umoja wa kitaifa

  • | Citizen TV
    593 views
    Duration: 3:51
    Utamaduni umetajwa kuwa nguzo muhimu ya kuimarisha umoja wa kitaifa, hasa wakati wa kampeni za kisiasa na uchaguzi, ambapo jamii huhimizwa kuenzi utofauti wao badala ya migawanyiko.