- 105,570 viewsDuration: 1:21Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania, Patrobas Katambi, amesema maandamano na mikusanyiko ya hadhara lazima ifuate taratibu za sheria, ikiwemo kuwajulisha Jeshi la Polisi angalau saa 48 kabla ya kufanyika. Kauli hiyo inakuja wakati mjadala ukiendelea kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na kuelekea maandamano yanayotarajiwa kufanyika Julai 7. Serikali imesema hatua hizo zinalenga kulinda usalama wa wananchi na kuzuia vitendo vya uhalifu. - - #bbcswahili #Maandamano #sheria #tanzaniatiktok🇹🇿 #foryou #kenyantiktok🇰🇪 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw