Utata katika ugavu wa ardhi ya Kaptienei wadi ya Kaplamai

  • | West TV
    42 views
    Taharuki imetanda katika eneo la kaptienei wadi ya Kaplamai kufuatia mzozo wa ardhi ya ekari 132 inayong’ang’aniwa na pande mbili zinazodai umiliki wa ardhi hiyo, hali hii ikilemaza juhudi za ugavi kwa wanachama halisi