Utata wa mauaji ya Arshad: Kenya yashikilia alipigwa risasi Kimakosa; ilhali Pakistan yapinga

  • | KTN News
    385 views

    Utata kuhusu mauaji ya mwanahabari raia wa pakistani Arshad Sharif aliyeuawa humu nchini mnamo oktoba tarehe Ishirini na mbili, unazidi kutokota huku serikali za mataifa ya Kenya na pakistani zikionekana kutoa taarifa na mitazamo kinzani

    Join this channel to get access to perks: https://www.youtube.com/channel/UCKVsdeoHExltrWMuK0hOWmg/join

    Watch KTN Live https://www.standardmedia.co.ke/ktnnews/ Watch KTN News https://www.standardmedia.co.ke/ktnnews/ Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews